Poe! Mpeleke kwa matatibu! Wanaweza kumsaidia! Ila ungemuelewa mkeo na kumkubali na kukubali hali yake na kuamua kuendana nayo ingefaa zaidi! Pole once again!
Nimeoa miaka 10 iliyopita. Tatizo alilonalo mke wangu ni kwamba anausingizi sijapata kuona.
Jamani naomba ushauri wenu, nimsaidie vipi mke wangu apunguze usingizi kwani hali yake inanikosesha raha ya mapenzi na mke wangu.
Naunga mkono hoja.Poe! Mpeleke kwa matatibu!
Wanaweza kumsaidia! Ila ungemuelewa mkeo na kumkubali na kukubali hali
yake na kuamua kuendana nayo ingefaa zaidi! Pole once again!
Zaidi ya kumpeleka kwa wataalam wa afya ya mwili na akili jaribu kuchunguza hygiene yake ya maisha. Sometimes what we eat or what we do/don't do could increase our need of sleeping hours. Binadam wa kawaida, adult, anahitaji not less than 5 hours sleep every 24hrs, kwa kuweza kufunction properly. wengi, sababu ya mtindo wa maisha tunalazimisha kulala hadi 8 hours, but 5 would acrtually be enough. Kufatana na hayo unayo sema hapo, nadhani mke wako kazidisha hata hizo 8. Jaribu haya:
- Afanye mazoezi. Unaweza kudhani kua mazoezi yatamchosha na atalala, which is true, ila yanaweza kusaidia kukusanya sleeping hours zote zikae in a single period. badala ya kulala saa mbili mchana, then saa mbili jioni, halafu tena masaa nane usiku, anaweza kulala tu masaa kumi usiku na akawa up mchana. Pia exercise itaongeza alertness yake na kupunguza hali ya uchovu.
- Abadili diet, ale mboga na matunda sana, apunguze nyama. Mwili wetu unatumia energy nyingi sana ku-digest nyama. Kama anakula nyama nyingi, maybe she is weak because she lacks energy. her body needs to put everything in standby mode until it has digested the food she is having. If need be she culd use suplements (apate ushauri wa daktari au nurse kuhusu the right ones, the onesw she really need)
- Kama anakunywa alcohol apunguze, inapunguza metabolic process. kama anavuta sigara apunguze pia. katika "kurelax" kuna kausingizi kanakuja
- Kama ni mnene ajaribu kupunguza uzito. she uses all her energy for normal metabolic functions. For a quick solution anaweza kunywa kahawa nyingi, but this is not sustainable in the long run.
- kama ana kazi ngumu ya kuchosha mwili au akili ajaribu kugawa masaa ya kazi kwa 30 min break for every 2 hours of concentration. inaweza kusaidia kubaki alert
- Ajaribu meditation (relaxed-but-alert methods would require her to meditate in lotus position with her eyes opened). Kama ni muumin asali na kumuomba Mungu njia ya ku-improve
- (This one is a bit tough to swallow): jaribu pia kumchunguza, akiwa na watu wengine inakuaje? maybe you are the problem, she is bored with you and sleeps whenever you are around because you can't keep her awake or simply because she'd rather sleep than having your company or having to have sex with you. too long preliminaries can be boring if they don't respond appropriately to her needs of the moment.
Usichoke kuongea nae... good luck

Mlishe gomba huyo.
Mkuu nafikiri tatizo linaanzia hapo kwenye unene, 100Kg sio mchezo. Najaribu ku imagine mimi ni nina 32 yrs na 55Kg sasa hizo 100 zitakuwaje. Any way sio swala la option hapo Mazoezi ni LAZIMA. Usiishie tu kumshauri bali uchukue hatua za kmpleleka tena kuwe na program maalum kabisa kwa ajili ya weight loss, ajipangie kwamba baada ya muda fualni apunguze hata 10Kg hivi.Nakushuru kwa ushauri. Mke wangu ni mnene, uzito wake ni km 100kg, umri wake 38 anajitahidi kula sana, anapenda vya sukari sana, hafanyi mazoezi na hanywi pombe.
Nimejitahidi kumshauri afanye mazoezi, apunguze weight, aache sukari sukari lakini bado kimsingi sijafanikiwa. Binafsi nafanya mazoezi ili ku -maintain my shape and good health. She likes sex so much as i do, we match in everything when it comes to love making.
Tatizo kubwa ni usingizi wake coz well nikimwamsha kila kitu kinakwenda sawa kama hajalala vile coz she like it alwayz. What i need is to help her angalau apunguze kulala the way she does.
Nitafanyia kazi ushauri wenu
Mkuu nafikiri tatizo linaanzia hapo kwenye unene, 100Kg sio mchezo. Najaribu ku imagine mimi ni nina 32 yrs na 55Kg sasa hizo 100 zitakuwaje. Any way sio swala la option hapo Mazoezi ni LAZIMA. Usiishie tu kumshauri bali uchukue hatua za kmpleleka tena kuwe na program maalum kabisa kwa ajili ya weight loss, ajipangie kwamba baada ya muda fualni apunguze hata 10Kg hivi.
Usipofanya hivyo sasa akifika kwenye 50's uwe umeshaanda na hela ya matibabu kabisa na atakapofika 60 atakuwa choka mbaya. Mimi wa kwangu mnene na ana kilo 75 lakini nimejipanga kwamba asiongeze tena zaidi ya hapo