Mi nachokushauri kwanza pitia google utafute madesa ya namna ya kuandika dissertation,pia uzione sample za dissertation, lakini pia naamini unaye supervisor yeye atakuongoza fresh tu,then ingia Library ya chuoni kwako usome kazi za watu na uangalie namna walivyoandika,hakuna aliyezaliwa anajua,jitahid uandike mwenyewe ili mwisho wa siku uwe na uwezo wa kufanya risech na kuandika report mwenyewe