in ur application letter u need to stress your jobfitness from the experience u'd had previously..I like well written applications only one page and detailed CV, however interviews r a major decider!Hello!
Naomba mnisaidie wadau, nimemaliza chuo mwaka 2008 nikapata ajira ya mkataba wa mwaka mmoja kabla hata matokeo hayajatoka. Tuliomba na tukafanya interview nikapata kazi.
Kiukweli sikua namfahamu yeyote na baadae nikaomba sehemu nyingine nikapata nikapata pia ila ilikua mwaka wa mwisho wa mradi. Mradi umemalizika June mwaka huu (2010)
Tangu muda huo nipo busy kufanya application lakini siitwi hata kwenye interview! Nafasi zinatoka nyingi ambazo nina uzoefu na ujuzi nazo ila ndio hivyo. Natembelea tovuti mbalimbali hivyo nimeona niwashirikishe najua nitapata hapo kitu.
Nina stashahada ya juu ya ustawi wa jamii,nimefanya kazi kazi katika masuala ya UKIMWI na baadae masuala ya watoto na wanawake.
Nahitaji mawazo yenu.
Hello!
Naomba mnisaidie wadau, ...................
Nina stashahada ya juu ya ustawi wa jamii,nimefanya kazi kazi katika masuala ya UKIMWI na baadae masuala ya watoto na wanawake.
Nahitaji mawazo yenu........
Unaposema format za nyumbani una maana gani, world vision ni shirika la kimataifa, so kuwa International na wewe...! Application yako lazima iendane na unapoipeleka.Nawashukuru sana kwa mawazo yenu,Nimepitia web nyingi nachojaribu ni kupata mawazo ya wadau na format za kinyumbani zaidi. Naendelea kupokea ushauri toka kwenu na hapa nipo nafanya application World Vision.
Hello!
Naomba mnisaidie wadau, nimemaliza chuo mwaka 2008 nikapata ajira ya mkataba wa mwaka mmoja kabla hata matokeo hayajatoka. Tuliomba na tukafanya interview nikapata kazi.
Kiukweli sikua namfahamu yeyote na baadae nikaomba sehemu nyingine nikapata nikapata pia ila ilikua mwaka wa mwisho wa mradi. Mradi umemalizika June mwaka huu (2010)
Tangu muda huo nipo busy kufanya application lakini siitwi hata kwenye interview! Nafasi zinatoka nyingi ambazo nina uzoefu na ujuzi nazo ila ndio hivyo. Natembelea tovuti mbalimbali hivyo nimeona niwashirikishe najua nitapata hapo kitu.
Nina stashahada ya juu ya ustawi wa jamii,nimefanya kazi kazi katika masuala ya UKIMWI na baadae masuala ya watoto na wanawake.
Nahitaji mawazo yenu.
Thank you for your time and consideration,it have been helpful!
Be blessed.
Barua ya kuomba kazi inaandikwa kama hivi:
Mr. Embe Parachichi
P. O. Box 2010
Jamiiforum
Date: 13/12/2010
Tel: 071X ABC DEF
Email: embepara@yahoo.com
TO:
HRM
World Vission Tanzani
Box 2011
DSM
Dear Sir/ Madam;
RE: APPLICATION FOR ACCOUNTANT
I am applying for the position of accountant as advertised on Daily news issue of 9/9/2010.
I am a male tanzanian aged 28 years.
I completed my o level education in 2001 at chadema secondary school, I also completed my advanced education in 2003 at ccm high school.
I now hold a bachelor in account which I got after completing a three years course at the udom. I also hold CPA.
My work experience date back to 2005 when I was working with upinzani as assistant accountant. My duties there were to prepare financial reports. From 2007 up to 2009 I was working with Baba Mtu and Sons Ltd, an auditing firm. Then company then appointed me as a chief auditor of one of its branch located in arusha.
I am also involved on the onging economic forum project for eastern zone. The project aim at investigating the economic status of east african citizens. The project is funded by undp.
My attached cv describe well my education background and work experience.
Enclosures:
CSEE, ACSEE, Ba. Acc, CPA, Class C driving lisence, Birth certificate, Diploma in IT
Yours, faithfull
Embe Parachichi
UbarikiweGoogle is your friend. u internet unitumia kufanya nini hasa
Mfano googlee sentensi "Sample job application letter." Utapata barua nyingi amabzo unaweza ku edit zikawa barua nzuri.
Vile Vile Usije ukawa unaadika barua ya kurasa mbili au zaidi. to my view application letter inatakiwa kuwa Precise. Hakikisha application letter na CV ziko consistent.
Alafu ukisema umefanyaapplication nyingi unamaanisha application za kazi gani na kwenye taasisi gani. Unaweza kutoa mfano wa postion chache na mashirika uliyoomba kazi.
Zaidi ya Online Weka bajeti ya kununua magazeti ya the guardian na daily news. Again Observation yangu wadada wengi sio wapenzi sana wa haya magazeti.
Mi nadhani unaomba kazi amabzo haziendani na elimu yako au uwezo wako. Omba kazi za chini then utapanda tu. Nina ndugu yangu moja alifanya kazi kwenye mradi ulivyoisha alikuwa mbaguzi sana wa kazi. Alipoteza muda kutafuta kazi inayoendana na masahi kama ya ile aliyokuwa nayo.