Nahitaji msaada kama kuna mtu ana uzoefu na generator..

Nahitaji msaada kama kuna mtu ana uzoefu na generator..

KRISTIAN P

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
359
Reaction score
69
Nataka kununua generator kwa ajili ya ofisi yng ambayo ni studio ya kurekodi muziki,vitu navyo tumia ni kama air condition,computer,speraker za studio,mixer,keyboard na vitu vidogo km feni na tv je naitaji generator ya ukubwa gan na inaweza fika bei gan!!thnx
 
Mahitaji yako ni ya grnerator ya ukubwa wa 5 kva na kuendelea.
Hapo kinachokula umeme zaidi ni A/C , feni na Tv,vingine vyote hutumia umeme mdogo.

Kwa generator la 5 kva utakuwa na umeme wa kutosha kabisa.
 
Kaulize dukani mfano pale posta mpya duka la Car & General vitu vyao huwa ni madhubuti (genuine) si kama za India street na kariakoo ambazo ni disposable
.
 
Ni vizuri ukafahamu load utakayokuwa nayo, kama Aircon je ni btu ngapi, then make total amps ya vitu vingine utakavokuwa navyo, pia ni vizuri kujua main supply yako ni single au three phase na plan zako at least for next 3yrs kama utakuwa na expansion yeyote,tukishayajua hayo itasaidia kufanya projection ya genset capacity inayokufaa.
 
Back
Top Bottom