Nahitaji msaada haraka.

Nahitaji msaada haraka.

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
581103_180107545451916_100003580167682_252777_1517654110_n.jpg Ule waya unaoenda ofisi za Jf ni upi?
 
wale wa St Joseph,COET kazi kwenu,sisi wa cbe hatujui hii mambo
 
View attachment 56275Ule waya unaoenda ofisi za Jf ni upi?

Umeiogopa JF hadi unataka kutukatia mkuu. JF ni taifa kubwa, sisi tuko wireless mkuu!!! Labda nenda main Server in the US na wasiliana ......Huiwezi. Wengi wameshindwa na wamesalimu amri. Na sasa tumejisajili kabisa. Ha ha ha ha watu bana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom