Hey there!
Huu uzi nimeweka hapa kwa lengo la kumpata binti mrembo atakae kuwa ananifanyia "massage"...strictly massage and nothing more.
Kama wewe ni binti na una uzoefu wa kumkanda kanda mwanamme viungo (meaning massage), basi hii ni fursa kwako kujipatia kipato halali kabisa.
Maelezo mengine kuhusu mahali nilipo, muda wa kunipa huduma, mrembo awe na sifa gani na bei ya huduma utaipata baada ya kuonyesha interest na hii offer kupitia Private Message (PM).
Aidha, huduma hii kwa sasa hapa Dar ndio inaongoza kutengeneza wealth. Hivyo badala ya kuendelea kufanya kazi ngumu ama kulalamika uhaba wa ajira, ningeshauri uchangamkie hii fursa for the sake of your future.
Contact me through PM.
Angalizo: Huu uzi sio wa mjadala. Ni uzi wa tangazo tu. Lakini pia kwa wanaume huu uzi ni off-limit. Kwa kuwa sihitaji Gay kwa ajili ya hii huduma.