ELIFURAHA MAKOMBE
Senior Member
- Dec 22, 2012
- 176
- 22
Habari na heri ya mwaka mpya ndugu zangu.
Mimi ni mwanaume wa miaka 27 now,nipo Moshi mjini Msaranga.Elimu bachelor degree of banking and finance,mchaga wa Oldi moshi,mkristo safi Lutherani,mrefu na mweusi, wa maji ya kunde.
Sifa za mpenzi nimtakaye:
1Kabila lolote
2Umri miaka 20-25
3.Elimu form 4 nakuendelea.
4.Awe mweupe au maji ya kunde.
5.Awe mrefu wa wastani.
6.Dini akubali dini yangu ya Kikristo.
7.Awe tayari kuwa na mimi mpaka nitakapopata kazi nakufunga ndoa/harusi.
8.Contact zangu ni:0715 406010/0759 706090.
Am serious ndugu zangu,so sihitaji kejeli please.