Barnaba pro
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 210
- 13
- Thread starter
-
- #21
Mkuu mtafanya mapenzi?
Hahaha swali ilo
And how old are you?
The Boss my age ts doesn't a matter bh the point is muda wa kusom n co wakuangaik na ma beybeee
Tank u by the way
Pumbavu mwanafunzi na mapenzi
Pia naweza kuwa mkubwa kwako
Raimundo then umri na post iliotumwa haihusiani
Ni ushauri huu tunatoa mweny maamuz ni alietoa post
👆👊
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20.Ni mrefu kias,rangi ya maji ya kunde,mtanashati,najua kupenda,niko vizuri in short.Nipo form 6 now.Natafuta msichana wa kuwa nae as my girl friend awe mzuri,good shape asiwe mfupi sana coz me mrefu kiasa.
Akipatikana wa Dar so mbaya.Kama uko serious ni pm
Mkuu mtafanya mapenzi?