Barnaba pro
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 210
- 13
Ambatanisha picha yako tafadhali
Una salio la milion ngapi bank? Ukiwa nazo wala huhitaji kuja huku-usijidanganye 'mapenzi sio pesa'
Form 6 bdo unahitaji kupambn n kitabu + ukifik chuo utawapata bil xhd
Hahaha swali iloMkuu mtafanya mapenzi?
Hahaha swali ilo
Form 6 bdo unahitaji kupambn n kitabu + ukifik chuo utawapata bil xhd
I mean yu need to study first coz form 6 una exam za kutosha, warembo wapo kila mahali ten pindi uko chuo Jambaz
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20.Ni mrefu kias,rangi ya maji ya kunde,mtanashati,najua kupenda,niko vizuri in short.Nipo form 6 now.Natafuta msichana wa kuwa nae as my girl friend awe mzuri,good shape asiwe mfupi sana coz me mrefu kiasa.
Akipatikana wa Dar so mbaya.Kama uko serious ni pm
Wewe unataka kufeli kiurahisi sana waulize kwanza waliokutangulia kama uwamuzi wako ni sahihi ujibiwe ukianza na mimi nakuambia soma kwanza ukifika chuoni wapo wengi sana utampata