Nahitaji mpenzi na msaidizi

Nahitaji mpenzi na msaidizi

Avantika

New Member
Joined
Feb 28, 2019
Posts
2
Reaction score
2
Nahitaji mpenzi na msaidizi wa maisha
Nimekulia maisha ya mahangaiko..nahitaji mtu wa kunitoa upweke na huzuni nliyonayo. Nahitaji kutulia nami
Naitaji wa kunishika mkono nitoke hapa nilipo
Naahidi upendo wa kweli kwako.

Mimi ni mwanamke. 24-28
Mkristo
Menine utayajua
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapatikana wapi? Kama upo Serious kweli kama mimi njoo PM tuyajenge.
 
Mtaani wanaume tumebaki wachache kuwasemesha wadada wicked
 
Nahitaji mpenzi na msaidizi wa maisha
Nimekulia maisha ya mahangaiko..nahitaji mtu wa kunitoa upweke na huzuni nliyonayo. Nahitaji kutulia nami
Naitaji wa kunishika mkono nitoke hapa nilipo
Naahidi upendo wa kweli kwako.

Mimi ni mwanamke. 24-28
Mkristo
Menine utayajua
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
I can feel you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom