Nahitaji mpenz

Kwa kuwa umesema hujafikiria kuolewa, na unahitaji mpenzi wa mkataba, Nimeona unafaa sana kuwa nyumba ndogo,
Na pia kwa experience uliyonayo ya mapenzi kuanzia miaka 13 au chini kidogo basi you can be the best nyumba ndogo mof the year!!

sorry! U guy. Do you think a'm a cows or dogs wa kupandwa na dume lolote? Samahani sana mimi sio spare tyre ooh! Shetani ashindwe
 
Nothing4good mdg wng huo ni mwanzo bado hujaumizwa, wanaume hawana kanuni maalum, na kumbuka siku zote kuwa maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, bali jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana!!
 
Kwa kuwa umesema hujafikiria kuolewa, na unahitaji mpenzi wa mkataba, Nimeona unafaa sana kuwa nyumba ndogo,
Na pia kwa experience uliyonayo ya mapenzi kuanzia miaka 13 au chini kidogo basi you can be the best nyumba ndogo mof the year!!

sorry! U guy. Do you think a'm a cows or dogs wa kupandwa na dume lolote? Samahani sana mimi sio spare tyre ooh! Shetani ashindwe
 
Realy; :rain:Miss Juddy una miaka 26 na hujaguswa na mwanaume bado au wewe ni mtawa????? Hapo cjaelewa vizuri bado!!!!!!:A S 13:
 
Hutatui tatizo kwa kutumia mkataba,utakuwa na mkataba na bado utaumizwa tu pale ambapo mwenzio ataenda kinyume.Tafuta mwanaume unayempenda kwa dhati na hakuna haja ya mikataba,uhusiano ikibidi kuvunjika utavunjika tu.Nakushauri utafute mtu wa dini yako.nina maana yangu nzuri tu,hasa kama una malengo ya muda mrefu.pia uwe una sali,unaelekea kuwa unatafuta majibu marais rais tu kama hilo la mkataba....tulia my dear,atakuja wakati usioutarajia.kila la kheri!

Michelle napenda maushauri yako....lol...
good advise
 
Hope ulighaili hili zoezi kwa mabusara uliyomwagiwa na wenye mauzoefu, hope ni mzima wa afya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom