Nahitaji mpenz

thanx mpenz nitaangalia uwezekano huo ila alijua kabisa alichofanya koz kasema mamake kamchagulia mke so akaniambia soma mtoto! Unachopaswa sasa hiv nikusoma2 mambo mengine achana nayo.yeye alikua chuo ni mtoto huyo?nataman kummeza!!m2
Alifanya vizuri kukwambia usome cause kweli ulikuwa mtoto na sasa ni wakati wako wa kushine wala usinung'unike ni sahihi kabisa
 
Si kweli kuwa umri wake ni mdogo kwani mapenzi yanazingatia miaka?
Mapenzi ni "asili" so hata ukiwa na miaka 17 than ukaamua kuwa na mpenzi ni poa vilevile, la msingi ni kujifunza mapenzi hayana guarantee so yanaweza kuisha (kuachana) wakati wowote!

Huu umri mahakamani ni bado minor yaani hajafikia kuamua mambo yake mwenyewe, si unajua majority age ni 18? bado ana nafasi kubwa tu. ila kwa umri wa sasa anaweza kuwa imara kwa hayo mambo
 
Alifanya vizuri kukwambia usome cause kweli ulikuwa mtoto na sasa ni wakati wako wa kushine wala usinung'unike ni sahihi kabisa

Ni kweli Gaga, huyu binti kama anayosema ni kweli, basi alianza mambo ya mapenzi akiwa bado ni mtoto.

Pole sana NothingforGood, ila wewe bado ni bint mdogo, wala usiwe na haraka na haya mambo! Una haraka gani jamani??? Unataka mapenzi ya mkataba?? hivi ndo yakoje hayo???? Please, tulia bint, mwombe Mungu atakusaidia kupata kijana ambaye utakuwa naye kwenye maisha yako yote.
Ubarikiwe.
 
Nimekupenda ghafla tatizo hiyo weight yako 72kg, wakati mimi nina 65kg. Wasiwasi wangu ni yakianza malavi davi ya kidhungu ya kubebana sijui ntaweza kukubeba !!?

Tafuta wheelchair
 
asante mpenzi.

mi niliposoma tu, niligundua huyu bado ni mdogo sana. mi nina miaka 26 na sijaguswa na mwanume. yeye ana 23 na kishaumizwa zaidi miaka 7 iliyopita na sasa ameandaa kamkataba akidhani ni muarobaini wa kuumizwa! kweli shetani anawatesa watu! kwa kweli niliposoma niliona nisijihangaishe kujibu kitu, ila nilipoona jibu lako nikaona nikuunge mkono.

mdogo wangu umri wako ni mdogo sana. sijui umefika kiwango gani cha elimu na maisha kwa ujumla, lakini kwa umri wako na mipango uliyonayo, ni mapema sana. zingatia alichoshauri dada yetu Gaga na wengine. asante.

nisamehe kama nitakuwa nimekukwaza.

praise the Lord

Praise the Lord Mpendwa, mimi nina miaka 28 sijagusa mwanamke, nadhani nikikutana na wewe ambaye hujaguswa we can make a good couple, niruhusu nikuPM basi ili uwe ndio mwanzo.
 
Miss J, sipatii picha siku hiyo unaguswa utakavyoruka kama kitenesi
 
Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!!

Mmmh, miaka 23 lakini xperience kwenye mahaba ni zaidi ya miaka 7, kweli watoto wa siku hizi ni balaa
 
Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!!
yaani una miaka 23 halafu umekuwa single kwa miaka 7 baada ya kuumizwa! ilikupasa uwe single kwa miaka yote 23 ikiwa na maana huajaanza kujihusisha na mahusiano y akimapenzi
 
[QUOTE=Nothing4good;1671304]Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!![/QUOTE]

Ukiwa na Miaka 16 au chini ya hapo umeshaumizwa tayari, pole sana. Sasa una 23yrs, safari bado ndefu chunga sana usijeumizwa tena. Hiyo ya mkataba naona haijakaa sawa kidogo, mashariti ya mkataba ni yapi sasa. Kila la kheri kwa walio single kama wewe!
 
Praise the Lord Mpendwa, mimi nina miaka 28 sijagusa mwanamke, nadhani nikikutana na wewe ambaye hujaguswa we can make a good couple, niruhusu nikuPM basi ili uwe ndio mwanzo.

haha,

usijali mpendwa, unaweza PM kwangu no problem. ila kulingana na timetable yangu, nitaanza kuguswa kuanzia januari mwakani. Glory to God!
 
Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!!

Mpenzi wa mkataba tena dada yangu! Mhhhhhh! hili la mikataba sijawahi kulisikia. Hebu fafanua unaposema mkataba unamaanisha nini? Ni mkataba wa mapenzi wa muda fulani labda miezi sita au mwaka? au wa kuhakikisha huumizwi tena? na kama utaumizwa tena then there will be a price to pay.
 
haha,

usijali mpendwa, unaweza PM kwangu no problem. ila kulingana na timetable yangu, nitaanza kuguswa kuanzia januari mwakani. Glory to God!

Kuna raha yake kwa mwanume na hata kwako kama wote mtakuwa hamjagusa huko nje. Kama ndo shemeji mtalajiwa hongera zake, inaongeza trust kwake. Endelea kumwakikishia kuwa ndo yeye tu na kumtegemea Mungu, ndoa ni furaha tu japo hutakosa kubezwa na walioko kwenye machungu. Cha msingi kaza buti na uzibe masikio kwa maushauri ya hajabu hajabu. Mbarikiwe!
 
hapo penye bold panahusika.

nafasi ya huyo mtarajiwa bado iko wazi na kwa sasa nafanya upembuzi yakinifu kwa marafiki zangu so kama hadi leo hii hujawa rafiki yangu, nafikiri itakuwa ndo basi tena labda itokee miujiza!
 
haha,

usijali mpendwa, unaweza PM kwangu no problem. ila kulingana na timetable yangu, nitaanza kuguswa kuanzia januari mwakani. Glory to God!

Bora uchangamke mwenyewe mwaya! Kila la heri Judy.
 
haha, thanks BAK, tayari walishanichangamkia wengi sana. kwa sasa nawafanyia upembuzi yakinifu ndo maana nimejiwekea deadline ya kukamilisha huo upembuzi kwa msaada wa Mungu. Glory to God

Take your time my dear, you still have plenty of time to go mpaka hiyo January 2012 (siku ya siku LOL!)

wewe mdogo halafu umeshaanza kuwa desparate hivyo? wanaume mbona wapo tuu wengi mno wewe tuu embu soma kwanza watakuja wenyewe ila kama unataka heart breaker mwingine wait n see,
 
Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!!

Mimi binafsi nipo serious lakini ningependa nijue mazingira yaliyosababisha huyo jamaa akuumize. Inawezekana wewe ndiye ulikuwa chanzo cha kukorofishana na inawezekana vilevile wewe hujitambui kwamba tabia yako ndiyo iliyosababisha jamaa akuumize. Otherwise, umri wako, kimo na rangi vimeamsha mshawasha wangu tayari kiasi cha kuihitaji nikuone. Naomba uniPM unieleze mazingira ya kuachana na jamaa huyo. Kiumri nimekuzidi miaka kumi na tano, gap ambalo ndiyo muafaka kabisa!
 
Mbona age yako ni ndogo sana kukata tamaa mpenzi, halafu unaongelea kuumizwa sana ukiwa na miaka saba nyuma yaani 17yrs!

mmmh! 23-7=17 au 16 duh kweli hisabati ni janga la kitaifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom