Nahitaji mpelelezi wa kujitegemea

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,665
Habari wakuu. Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza mimi ni Mtanzania niliyepatwa na tatizo ambalo linahitaji upelelezi ili kujua chanzo chake na watu waliohusika katika kunihujumu. Hivyo nahitaji mpelelezi binafsi yaani wa kujitegemea ambaye atanisaidia. Kwa anayemjua au yeye mwenyewe kama ni mpelelezi naomba ani PM kisha nitaongea naye kazi nzima ya kuifanya.
Natanguliza shukrani.
 
Nivema umpate mpelelezi aliye kazini,mkubaliane,wao wameelimika mno,muhimu utoe starting point,mpelelezi WA kujitegemea labda alie staaf,na pengine utaje wahitaji WA jinsia gani
 
Nivema umpate mpelelezi aliye kazini,mkubaliane,wao wameelimika mno,muhimu utoe starting point,mpelelezi WA kujitegemea labda alie staaf,na pengine utaje wahitaji WA jinsia gani
Nashukuru. Na ndio maana nikahitaji ushauri humu. Whether yuko kazini ama kastaafu ninachohitaji kwake ni kumpatia kazi na aniletee majibu.....na majibu yenyewe ni ya kuwezesha watuhumiwa kukamatwa maana mfumo wa kipolisi umenigharimu na watuhumiwa hawajakamatwa. Ndio msaada ninaoutaka kwa mpelelezi.
 
Nadhani kwa tz mpelelezi wa kujitegemea bado kabisa coz kuna sehemu atakwama haswa kama kuna nyaraka zinahitajika azipate, i mean search power even summon to appear!
 
Si hivyo unavyofikiria. Kazi ni kumkamata mtuhumiwa aliyekimbia. Polisi hawawezi. Haihitajiki nyaraka wala chochote zaidi ya kumvizia na kumkamata tu basi.
 
Mkuu.....
Kwa uzoefu wangu, ikiwa utachukua mpelelezi ambae bado yupo kazini, kuna uwezekano akakufanyia kazi chini ya kiwango kwa kurubuniwa na mlungula wa side B.
Nivema ukatoa kazi hii kwa kampuni binafsi inayo jishughulisha na upelelezi, na itapendeza ukipata ushauri wa kisheria kabla ya kuingia mkataba na kampuni hiyo iwapo itashindwa kuku fanyia kazi yako kama mtakavyo kubaliana.
Jaribu kuingia kwa msaidizi wa fundi (mitandao), na utazame kampuni kadhaa za hapa bongo ambazo zinaweza zikawa msaada mzuri kwako pamoja na activity security and privacy.
 
Asante mkuu[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Hivi kuna makampuni yanayojishughulisha na mambo ya upepelezi hapa Tanzania? na sheria za nchi zinaruhusu?
 
Uzi wa mwaka 2016,leo 2022 unalalamika ulitapeliwa,miaka sita yote ulikuwa wapi ndugu kumtafuta tapeli wako?nina wasiwasi una mtindio wa ubongo
 
Uzi wa mwaka 2016,leo 2022 unalalamika ulitapeliwa,miaka sita yote ulikuwa wapi ndugu kumtafuta tapeli wako?nina wasiwasi una mtindio wa ubongo
AKILI YAKO HAINA AKILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…