daktari una haraka sana ya maisha. uko intern alafu unataka kuwekeza! utatuulia wagonjwa wetu ukiwaza marejesho. kwa mshahara wako kwa nini usijipange uanze kuwekeza after 3 years? udaktari ni noble professional tena cku iz mna mishahara mikubwa kuliko kada nyingine serikalini. unakimbilia wapi???? unakoelekea utakuja kumkata mgonjwa mguu mzima ukaacha mbovu sababu ya madeni! chondechonde jaman nakuomba. sisi tumezoea tukileta mgonjwa hosptl akifa tunasema Mungu kampenda lakn c kweli kabisaa. thats my advice