Nahitaji mkopo wa Milioni 10 dhamana hati ya nyumba

Mleta mada stratutory interest rate ni 3.5% kwa mwezi reducing balance, kwa mwaka ni 42% kwa miaka mitatu 126% kwa sababu ni reducing inaweza fika 100%.

Ukikopa million kumi kwa miaka 3 tegemea kulipa million 20.
Kwenye microfinance zote utaratibu ni huo, labda uende banks na bank huna kigezo biashara hauna.

Kukopa microfinance au kwa individual lenders ni nzuri kwa mikopo ya muda mifupi isiyozidi mwaka ila zaidi ya mwaka ni maumivu tu.

Halafu achana na DocJayGroup ana maneno tu kama Haji Manara ila hela hana hela kabisa yaani apeche alolo inawezekana hata mie nimemzidi hela.

Ushauri wangu anza na kidogo ulichonacho kufufua biashara kwa hela za mkopo ni majanga tu.

Achana na habari za kukopa.
Ndio shida ya waAfrika kama ww. Eti inawezekana hata mimi nimemzidi hela. Principle number 1 ya mafanikio ni "NEVER COMPARE YOURSELF TO OTHERS." MANAKE "HATA SIKU MOJA USIJILINGANISHE NA WENGINE." UTAKUTA MTU MWINGINE HELA NI YA WIZI. YA UFISADI, YA KUUZA MADAWA YA KULEVYA ETC. Wakati mtu ww unapambana Kihalali. Mimi siko hapa duniani kushindana na ww. Nashindana na Jana yangu, kuhakikisha kesho niko JUU ZAIDI YA JANA. Maneno kama hayo yanaonyesha ulivyo na upeo mdogo wa fikra. BADILIKA! Hata kama una mafanikio, fikra zako zinaku-limit na mafanikio yangekuwa makubwa zaidi kama fikra zingekuwa kubwa.
 
Yaani eti unataka uupate mtaji kwa njia ya mkopo?????

Unatafuta matatizo ambayo hutoyaweza.

Tunza hii comment for future use.

Hiyo nyumba inaonekana ni ya kifamilia, kama ndivyo huo mkopo utaliwa na hao hao wanafamilia kama walivyokula mtaji wa awali.
 
Pole mkuu najua unapitia kipindi kigumu. Ktk hyo nyumba ya familia ni Nani mrithi sahihi ambae anaweza ku authorise hyo hati. Je familia imeridhia Jambo hilo kwa usahihi ?

Mwisho nkushauli kua mrejesho at least yangekua mwaka mmoja
Nilishafikia maamuzi rejea mchango #47

Nashukuru sana kwa mchango wako mkuu.
 
Yaani eti unataka uupate mtaji kwa njia ya mkopo?????

Unatafuta matatizo ambayo hutoyaweza.

Tunza hii comment for future use.

Hiyo nyumba inaonekana ni ya kifamilia, kama ndivyo huo mkopo utaliwa na hao hao wanafamilia kama walivyokula mtaji wa awali.
Nilishafikia maamuzi rejea mchango #47

Ahsante kwa mchango wako.
 
Yaani eti unataka uupate mtaji kwa njia ya mkopo?????

Unatafuta matatizo ambayo hutoyaweza.

Tunza hii comment for future use.

Hiyo nyumba inaonekana ni ya kifamilia, kama ndivyo huo mkopo utaliwa na hao hao wanafamilia kama walivyokula mtaji wa awali.
Nilishafikia maamuzi rejea mchango #47

Ahsante kwa mchango wako.
 
Mleta mada stratutory interest rate ni 3.5% kwa mwezi reducing balance, kwa mwaka ni 42% kwa miaka mitatu 126% kwa sababu ni reducing inaweza fika 100%.

Ukikopa million kumi kwa miaka 3 tegemea kulipa million 20.
Kwenye microfinance zote utaratibu ni huo, labda uende banks na bank huna kigezo biashara hauna.

Kukopa microfinance au kwa individual lenders ni nzuri kwa mikopo ya muda mifupi isiyozidi mwaka ila zaidi ya mwaka ni maumivu tu.

Halafu achana na DocJayGroup ana maneno tu kama Haji Manara ila hela hana hela kabisa yaani apeche alolo inawezekana hata mie nimemzidi hela.

Ushauri wangu anza na kidogo ulichonacho kufufua biashara kwa hela za mkopo ni majanga tu.

Achana na habari za kukopa.
Nilishafikia maamuzi rejea mchango #47

Nashukuru sana kwa mchango wako mkuu
 
Nikusaidie kukuunganisha na taasisi ya fedha ikukopeshe hizo hela utakuwa tayari kutoa ganji milioni 2!?? Wanakukopesha kwa hizohizo biashara zilizoyumba na dhamana ya nyumba. Kama upo tayari njoo dm fasta kesho hiyohiyo unapata shekeli.
 
Nipo makini mkuu. Hata ivyo nataka nianze upya kwa kuuza equipments zote za hizi biashara na kujipatia mtaji.
Kuna jamaa alikopa kwa kutumia nyumba aliyekwopa akamugeuka akachukua nyumba akamwachia huto tumilioni kumi akaikarabati nyumba anaimiliki mpaka sasa akaweka na fremu za maduka mbele utauza nyumba kwa milioni kumi shauri yako sasa jifanye uko makini
 
Mkopo wenye unafuu wa riba na amsharti, ni mikopo inayotolewa na bank only.

Hizi microfinance zina riba kubwa sana

Na marejesho yake yanapunguza hela waliyokupa.

So kama biashara yako ni ya kununua na kuuza, ujue yale marejesho yanakata mtaji wako pia, so kuna siku itafika utashindwa kufanya rejesho.

Wakati wao riba na rejesho lipo pale pale
 
Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom