BTW:Kama una hati kwanini usiende Benki kukopa? Nyumba iliyoko Mbezi kwa kiasi hicho cha fedha ni sawa na unachukua hela ya nyanya tu, wewe tembelea Benki mbili tatu lazima utapata. Kama unaziogopa Benki basi I am sorry to tell you that probably you are among the bandits who play such stupid games! Kila la kheri anyway!
Hayo uliyosema hapo kwenye bold una uhakika nayo au unakurupuka ku-generalize tu mambo usiyoyajua?Okey thts good opinion of yours but pia pole kwa huyo mtu aliyekufanyia hivyo but hope haukuweka all the things legally and officially nadhan hamkuandikishana na hakukuwa na gurantor hapo wala mwanasheria thts why....upande wa pili hop i told you benk karibu nyingi nilizokwenda hawakopeshi kwa kuwa na hati tu ni lazima uwe na biashara na it take some time kuprocess maombi ya wengi na as i told u ni urgnt issue ndugu
kumbuka huo mchezo ndio uliwatoa kina papa musofe na majambazi wengineIf
yes then u should
claim for what is right and is your rights you cant abuse vyombo vya
sheria
Okey thts good opinion of yours but pia pole kwa huyo mtu aliyekufanyia hivyo but hope haukuweka all the things legally and officially nadhan hamkuandikishana na hakukuwa na gurantor hapo wala mwanasheria thts why....upande wa pili hop i told you benk karibu nyingi nilizokwenda hawakopeshi kwa kuwa na hati tu ni lazima uwe na biashara na it take some time kuprocess maombi ya wengi na as i told u ni urgnt issue ndugu
duh hyo interest ni balaaaNakukopesha milioni 13 mbele ya mashahidi wote wa jf utarudisha million 26 baada ya mwaka OK?
Hapa unapoteza muda tu, hata kama utaendelea kusubiri miaka elfu 1 ijayo hatapatikana mtu wa kukupa hiyo amount. Mimi ningekukopesha ila kuna Mwana JF kama wewe nilimkopesha kiasi cha fedha akaahidi kama wewe kuwa atalipa ndani ya wiki 2 pamoja na riba na tukaandikishana lakini leo imepita miezi 4 kapotea! Binandamu hawaaminiki tena miaka hii, ila najua yumo humu sasa ajiandae dawa yake inachemka jikoni. Alidhani ningetumia Mahakama kudai hela zangu lakini kwa Mahakama na Sheria zetu hizi za ki.senge mimi sitafungua kesi ila nimeshapata njia mbadala ambayo nitamfundisha somo ambalo hatalisahau kamwe maishani mwake! BTW: Kama una hati kwanini usiende Benki kukopa? Nyumba iliyoko Mbezi kwa kiasi hicho cha fedha ni sawa na unachukua hela ya nyanya tu, wewe tembelea Benki mbili tatu lazima utapata. Kama unaziogopa Benki basi I am sorry to tell you that probably you are among the bandits who play such stupid games! Kila la kheri anyway!
Wakuu thnks for the advice but huyooo wa interest za m26 siziwezi mkuu