NAHITAJI MKOPO WA MIL. MOJA NA LAKI 2

Dec 9, 2014
65
15
HUWA NAFANYA BIASHARA YA MAZAO NA MIFUGO KUNA MAHALI NLIKWENDA NMEONA FURSA BT MTAJI WANGU HAUTOSHI, TALIPA LAKI MOJA NA NUSU KILA MWEZI UHAKIKA, DHAMANA NI NYUMBA YANGU NIMEJENGA HUKO KSARAWE ZAIDI MWENYE NIA ANICHEK 0686738798
 
Jamani wakuu tuweni serious muda mwingine, hivi mtu unaweza jenga
nyumba afu uje uiweke bondi kisa M 1.2 ..??? Napata wasi wasi labda
ni banda la kuku au mbavu za mbwa , ingawa bdao hata ingekuwa hivyo
ukifanya land valuation ya hicho kiwanja inaweza zidi hiyi M 1 unayosaka.

wakuu tuweni makini sana maana waweza rudi kwenye lindi la umaskini
kwa kuuza mji wako kisa milioni moja.
hata kama ni shoda mkuu tafuta chanzo kingine.
 
Hiyo riba utaweza kuilipa kweli mkuu? Laki moja na nusu kila mwezi na bado hela milion 1.2 iko palepale?
 
SJASEMA LAKI NA NUSU NI RIBA labda hujanielewa, nmesema ninauwezo wa kulpa kwa mwezi laki na nusu ikiwemo na riba, WE MKUU UNAYEDAI NMEJENGA MBAVU ZA MBWA NASHUKURU SANA WEWE MWENYE HEKALU ENDELEA KUISHI PENGNE UTAISH MILELE.
 
Back
Top Bottom