Nahitaji Mkopo wa haraka Dodoma!

Nahitaji Mkopo wa haraka Dodoma!

Mzee23

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
1,742
Reaction score
3,673
Habari 'Wakuu'

Nahitaji mtu aishiye Dodoma(hasa mjini) anayeweza kunikopesha Tsh 400,000/= kwa dhamana ya Laptop(computer mpakato) aina ya HP yenye thamani hiyo! Kwa mwezi mmoja, nirejeshe 500,000/=
Nitumie ujumbe 'PM' au tuwasiliane 0759 629332

Asanteni!
 
Siyo kwamba unataka kuuza komputa hiyo kijanja?

Nipo handeni unaweza kuja chukua
 
Habari 'Wakuu'

Nahitaji mtu aishiye Dodoma(hasa mjini) anayeweza kunikopesha Tsh 400,000/= kwa dhamana ya Laptop(computer mpakato) aina ya HP yenye thamani hiyo! Kwa mwezi mmoja, nirejeshe 500,000/=
Nitumie ujumbe 'PM' au tuwasiliane 0759 629332

Asanteni!
Hapana, uo ni ujanja.. Hiyo laptop yawezekana haina thamani ya 500000 ila unataka kuiuza kwa lazima....
 
Thamani yake laki4 nimesema mkuu..na siuzi unakaa nayo mwezi mmoja tu
 
Siiuzi wakuu, ndio maana nikasema aliye Dodoma mjini ingependeza zaidi maana tunakabidhiana nyumbani kabisa..akitaka ili kusiwe na mashaka kama haya

Back
Top Bottom