Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

chardonnay

Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
34
Reaction score
2
Wakuu nina shida ya haraka ni muhimu zaidi 1,000,000 nina dhamana za vitu vya ndani vyenye thamani zaidi malipo ni baada ya mwezi atachagua mwenyewe nirejeshe kiasi gani
 
Kupitia mikopo ya wajasiriamali kweny senta zao je ulishawahi kujaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana mkuu tatzo ni kwamba nina shida ya dharura sio mikopo mingine inaprocess utaambiwa hivi mara vile sasa vitu vingne sina raba leseni ya biashara, bank statement sijui nini yaani kwangu vinakuwa vigumu wengine magar pikipiki bajaj sasa hvyo mi sina
 
Isije kuwa unataka kuviuza kijanja. Value ya vifaa vya nyumbani huwa haipandi zaidi ya kushuka

Sent using Jamii Forums mobile app
sitak kuviuza ndo maana ingekuwa kuuza ningetangaza nauza au kuna hizi microfinance wasema peleka dhamana yako hapo ningevipeleka wanipe hela lakini kuepusha yote hayo ndo nikaona bora kama ataekuwa tayari kunisaidia aje avione sio kuvichukua hadi nitakaposhindwa kulipa hapo ni ruksa kuvichukua
 
Sasa huyu atakayekupa huo mkopo ina maana dhamana unabaki nayo wewe au inakuwaje? Hebu funguka ili kusiwe na maswali mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom