Nahitaji Mke serious! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji Mke serious!

Discussion in 'Love Connect' started by wakupita, Nov 24, 2011.

 1. w

  wakupita Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Kila ninapojaribu kuvizia natolewa mbavuni,so nahitaji mtu ambae yupo ready for blind dating!:nerd:
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  sasa mkuu unahitaji mke au blind date ....

  good luck anyways ! wadada wa JF wata kurushia ma PM
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Wakupita umpitie nani ? Mweee
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280

  lol .... mpe nafasi inawezekana akabaki...

   
 5. w

  wakupita Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Hilo ni jina tuu lisikutishe mi nilipewa jina la kiswahili sababu mimi ni muafrika
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Inshallah Mungu atakupa mwenye kheir na weye..
   
 7. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ni-PM nikupe mastrategies ya kukuwezesha kufanikiwa. Inawezekana approach yako haijakaa vzr ktk kunasa umpendaye. By the way blind dating itakupeleka wapi? au unatafuta kuchanganyikiwa zaidi?
   
 8. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Wasiliana na Babalao
   
 9. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hii si ungepeleka hapo kwa jirani "Love connect" :focus: analyze situation kabla hujajitupa kichwa kichwa
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mke siriaz ndo yukoje?
   
 11. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mkuu wakupita_mimi napita hapa.
   
 12. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  weka vigezo na sifa zako akina dada wakuelewe.
   
 13. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nndio maana anapewa vya mbavu,
  Asa hapa haka km ni msomaji tu kapita humu na akawa interestedi atampataje?
  Ndio maana huwa nikiyaona haya matangazo najua ni comedy tu inaendelea.
   
 14. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jieleze sifa zako na za binti unayemtaka,
  Wengine ni wasomaji sio memba so uweke na mawasliano kwa wale wasio membba,
  Ni ushauri tu km ahuko serias potezea.
   
 15. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Nimewaza sana hata mimi hapa!:A S embarassed:
   
 16. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  WORDS..............mana kuna wale wasomaji tu anaeza akawa anfit hzo criteria akajiunga faaasta na ku m pm au ka sio kujiunga hata akaweka contact zake hapo
   
 17. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Bandiko lako tu limenifanya nione kwamba hauko serious!
   
 18. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ngoja ni wape sifa
  1.awe na uzoefu angalau wa miaka 15
  2. Awe ajawai ku..... Wala kuchumbiwa
  3.awe na umri uziozidi miaka 20-
  4................................................
   
 19. w

  wakupita Member

  #19
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Sifa zangu
  Kazi Accountant
  Elimu CPA
  Umri 28
  Ninapoishi Dar es salaam
  Kimo Mrefu

  Sifa za nimtakae
  Awe muelewa
  Urefu wastani
  Elimu kuanzia form four na kuendelea
  Dini muislam
  Kabila lolote
  Umri Kuanzia 25 mpaka 29
  Above all ajue kupika vizuri


  Wakuu nimesema niko serious katika kupata mke sio kupata mke serious!
   
 20. v

  valid statement JF-Expert Member

  #20
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  28 unahaha ivo? Hah hah hah...
  Labda kama unaishi pangoni na hutoki. Vinginevo mda unaruhusu kupata msichana na akawa mchumba na hatimae mke. Acha kuhaha kwa sasa.
   
Loading...