Nahitaji Mke serious!

hebu tuambie ushatolewa mbavu ngapi, Je unafikiri ni mwanamke gani atakaye mkubali mwanaume asiye na mbavu?
 
28 unahaha ivo? Hah hah hah...
Labda kama unaishi pangoni na hutoki. Vinginevo mda unaruhusu kupata msichana na akawa mchumba na hatimae mke. Acha kuhaha kwa sasa.

Mkuu kuhaha inatokana na kutumia muda mwingi katika kumtumikia bepari hata muda wakutoka kuangalia ufundi wa muumba unakua mdogo au adimu!
 
Hiyo si tija mdau. Huwezi nambia siku saba za wiki huna hata saa moja la kukutana na wadau wa kijamii. Acha kukata tamaa mapema ivo. Hapo ofisini kwako, wapo mabinti?, na hao waofisini ulowazoea wana marafiki zao(wakike) ambao utakuwa umejenga japo mazoea, binamu yako ana rafiki wa kike, mdogoako au dadako ana rafiki wa kike, mtaani wapo, marafiki wa zamani, na wale mabinti wote ulo wa delete, go and retrieve one by one to try you lucky chick. Make online dating your last resort mdau.
 
Weka contact zako ili ikiwezekana wakutafute au unaona soo. usiogope hiyo ni kawaida, hata email inatosha
 
Hiyo si tija mdau. Huwezi nambia siku saba za wiki huna hata saa moja la kukutana na wadau wa kijamii. Acha kukata tamaa mapema ivo. Hapo ofisini kwako, wapo mabinti?, na hao waofisini ulowazoea wana marafiki zao(wakike) ambao utakuwa umejenga japo mazoea, binamu yako ana rafiki wa kike, mdogoako au dadako ana rafiki wa kike, mtaani wapo, marafiki wa zamani, na wale mabinti wote ulo wa delete, go and retrieve one by one to try you lucky chick. Make online dating your last resort mdau.

Shule nimesoma boys,chuo nilikua library boy sana then ofisini karibia wote ni wakinamama wenye familia,wadogo zangu umri nimewaacha sana so it is unrealistic kusema unadate na rafiki wa mdogo wako,well blind date will be the last resort though!
 
Sifa zangu
Kazi Accountant
Elimu CPA
Umri 28
Ninapoishi Dar es salaam
Kimo Mrefu

Sifa za nimtakae
Awe muelewa
Urefu wastani
Elimu kuanzia form four na kuendelea
Dini muislam
Kabila lolote
Umri Kuanzia 25 mpaka 29
Above all ajue kupika vizuri

Wakuu nimesema niko serious katika kupata mke sio kupata mke serious!

hizi sifa za Faiza Foxy.. M pm.
 
Shule nimesoma boys,chuo nilikua library boy sana then ofisini karibia wote ni wakinamama wenye familia,wadogo zangu umri nimewaacha sana so it is unrealistic kusema unadate na rafiki wa mdogo wako,well blind date will be the last resort though!

You sound desperate my young brother. Angalia usije uziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom