Nahitaji mitungi ya wino wa printer ya epson p50

Nahitaji mitungi ya wino wa printer ya epson p50

Mangandula

Senior Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
184
Reaction score
38
Wanajamii kwa anayejua Inakopatikana mitungi ya wino ya printer za Epson P50 anisaidie naiihitaji, Nisaidieni. Kuhusu fundi wa kuinstall ni mimi mwenyewe fundi.
 
Mtungi ya epson P50 au T50 utapata kwa tsh 120000, pamoja na wino wake.
Tupo kariakoo .dar.
Tel 0766320252
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom