Nahitaji Mini Projector

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
389
225
Nahitaji kununua Mini Projector Lakni sijui nichukue ipi iliyo bora zaidi naomba nijue mambo ya kuzingatia kabla sijanunua hii kitu
ni vitu gani vya msingi navyotakiwa kujua kabla sijanunua nisije kujikuta nanunua projctor isiyofaa.

Natanguliza shukrani.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,035
2,000
Projector nzuri kusema kweli Inataka budget kubwa.

Cha muhimu ni native resolution, iwe 720p ama zaidi, nyingi unakuta native resolution ni 360p, 480p ama hata 240p Sema tu projector ina project 1080p ama zaidi. Hivyo native resolution ikiwa ndogo kuliko projected ndio unaona quality nayo inakuwa ndogo.

Vyengine vya kuangalia ni lumens, jinsi gani mwanga ulivyo mkali, kama unatumia mchana zaidi ya lumens 3000 utahitaji.

Angalia distance ambayo projector inaweza.

Angalia ports,

Angalia software hasa hizo mini kuna zinazokuja na android TV.

Brand pia Angalia zinazoeleweka hata kama ni mchina tafuta aliechangamka kama Anker.
 
64gb

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,267

images - 2020-12-16T163706.303.jpeg

Nilikurupuka kununua huu upuuzi, nikaishia kumpa mtoto kama zawadi ya birthday
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom