nenda thepiratebay auHallow wanaJf, naomba downlink (especially torrent) ambapo nitaweza kupakua Microsoft office professional 2010 full version with actvation key
natanguliza shukrani.
ninayo kuna mtu alinipa bt sikuweza kuinstall katika pc yangu coz inahitaji uwe na Windo 7, kama unaitaka ni PM nikupatie kama ukiniPM nipe email address yako nikuattachie