Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,810
- 11,446
Habari wakuu. Dada wa kazi anahitajika awe Dar. Ni kwa ajili ya kukaa na mtoto mdogo. Mshahara ofa elfu 40. Mdada atakua anaishi yeye, mtoto na mama wa mtoto. Mahali ni Kigamboni Kibada. Piga/sms namba 0768196158.