Nahitaji mchumba wa kiume

Mmmh kwanini umeamua kumwaga mboga hadharani? Na muhusika amesema kama unaona unakidhi vigezo uende PM mpaka hapo huna vigezo maana mcha mungu haweki siri zake hadharani
 
keshakosa mchumba teyari,fwata maagizo,vigezo na masharti kuzingatiwa
Watu wengine wanafeli hata kabla ya mtihani,kwa bhati mbaya hiyo namba hajaiona maana concentration iko PM
 
piga 112 ulizia MO11 utanipata
 
Wewe uliyeuliuza maana ya pm,pm ni kifupi cha "Private Message"

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Enyi wana nyuzi... Msipende kukurupuka tu kujitokeza ovyo ovyo kwa wale wanaojifanya wanatafuta wachumba wa kiume...wengine ni WANAUME!!! Sasa wewe jichanganye ukaliwe jicho!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mi naitwa asha naishi boko magengeni dar elimu yangu ni form iv natafuta mume wa kunioa ninamiaka 30 kazi yangu ni muuguzi nina mtoto mmoja sina mashariti yoyote anakaribishwa weka namba zako mi nitakupigia mwenyewe sifahamu mambo ya pm
 
Aisee saivi ndio unatoka shift ama? All the best
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…