brainscracher
Member
- Feb 22, 2016
- 47
- 9
Nahitaji mbia katika kilimo cha bustani nina heka tatu na nusu zipo rufiji mazao yote ya bustani yanakubali.any one interested can pm
mambo,,,ulishapata mdauNahitaji mbia katika kilimo cha bustani nina heka tatu na nusu zipo rufiji mazao yote ya bustani yanakubali.any one interested can pm
mambo,,,ulishapata mdau
Niko interested kk, wapi unapatikana mi niko dar, vp na kilimo ni wapi,Nahitaji mbia katika kilimo cha bustani nina heka tatu na nusu zipo rufiji mazao yote ya bustani yanakubali.any one interested can pm
sijakuelewa kabisa,,,anyway poamambo poa
siwezi kusema bado au tayari coz kuna ndugu mmoja nilie ongea nae, ila kama upo interested maeneo bado ni mengi hata kwa kukodi unakaribishwa
Soko likoje la mbogamboga? Ulilima nini na ulikuwa unauza wapi?kwa sehemu ile ndo nataka nianze but i have done it ha pa dar kwa heka moja ambayo nilikodi so nina ujuzi kiasi flan