Foxhunters
Senior Member
- Nov 25, 2019
- 166
- 110
ika ingekuwa maada ya upuuzi watu wangekuwa wamesha jaza uzi.Vuta subira mkuu, watakuja hivi punde.
Labda hamna mwenye mbegu hizo kwa sasa....Wadau ina maana uzi wangu umekosa wachangiaji kweli??
nicheck 0692449416kwa mkulima mzalishaji wa mbegu ya vitungu vyekundu led bombey or led creole . Nahitaji debe 1 la kupima kwa ndoo.
plan yangu ni kulima ekari tatu.
Location ya shamba ni Sumbawanga vijijini bonde la ziwa rukwa kwa sasa napatikana shinyanga ,ukinipa na offer ya bei itapendeza
Asanteni.
Jipange ununue mbegu za kwenye makopo Mkuu achana na mbegu za kupimiwa utauziwa mbegu zisizo nzuri dhaifu mbegu za kulima ekari 3 si chini ya laki 5 .kwa mkulima mzalishaji wa mbegu ya vitungu vyekundu led bombey or led creole . Nahitaji debe 1 la kupima kwa ndoo.
plan yangu ni kulima ekari tatu.
Location ya shamba ni Sumbawanga vijijini bonde la ziwa rukwa kwa sasa napatikana shinyanga ,ukinipa na offer ya bei itapendeza
Asanteni.
Mkuu nenda Mang"ora utapata. Wapo wenye mbegu mzuri sana hasa kwa wakulima wakubwaJipange ununue mbegu za kwenye makopo Mkuu achana na mbegu za kupimiwa utauziwa mbegu zisizo nzuri dhaifu mbegu za kulima ekari 3 si chini ya laki 5 .