Nahitaji mbegu ya korosho nipo dodoma

Nahitaji mbegu ya korosho nipo dodoma

exaud morrey

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
1,024
Reaction score
979
Wana jukwaa asalam alleykum Mimi nipo Dodoma nahitaji mbegu bora ya korosho msaada wenu wadau
 
Haya mazao usiyalime tu baada ya kuona mafanikio ya miaka hii mitatu utajuta, Endelea tu kulima Zabibu zako Dodoma 🤣🤣🤣
 
hela ya mfuko wa korosho ndio hivyo imepokwa, bodi ya korosho mpaka mwaka jana ilikuwa na project nzuri sana ya kukuza kilimo cha korosho ambapo walikuwa wakitoa bure miche ya kisasa ya korosho inayoanza kuvunwa baada ya miaka 2 kwa mkoa wa dodoma
Walifanya utafiti na kugundua wilaya ya kongwa zao hili linakubali vizuri sana, kwa bahati mbaya nimepoteza namba za waliokuwa wakiotesha hii Miche.... Jaribu kuuliza pakupata Miche/mbegu ofisi za kilimo kongwa au kijiji cha chamkoroma walipokuwa wakiotesha miche
 
Asante sana kwa maelekezo mkuu

Habari.
Umefanikiwa kupata mbegu.
Kama bado wasiliana nasi kwa mahitaji ya mbegu/miche/ushauri.
Call/text/WhatsApp
0766006128
0655715184
0783579456
 
Karibu tulime huku Mkoka wilaya ya kongwa Korosho zinakubali sana na mashamba bei chee. Miche inapatikana hapa magereza.
Ukiangalia hii miche nilipanda mwez wa 2 mwaka huu. hakika hii mbegu ni bora sana na inakubali sana kanda ya kati.
Karibuni sana wadau
 
Attachments

  • IMG-20181017-WA0089.jpg
    IMG-20181017-WA0089.jpg
    114 KB · Views: 78
  • IMG-20181017-WA0091.jpg
    IMG-20181017-WA0091.jpg
    86 KB · Views: 75
hela ya mfuko wa korosho ndio hivyo imepokwa, bodi ya korosho mpaka mwaka jana ilikuwa na project nzuri sana ya kukuza kilimo cha korosho ambapo walikuwa wakitoa bure miche ya kisasa ya korosho inayoanza kuvunwa baada ya miaka 2 kwa mkoa wa dodoma
Walifanya utafiti na kugundua wilaya ya kongwa zao hili linakubali vizuri sana, kwa bahati mbaya nimepoteza namba za waliokuwa wakiotesha hii Miche.... Jaribu kuuliza pakupata Miche/mbegu ofisi za kilimo kongwa au kijiji cha chamkoroma walipokuwa wakiotesha miche
Mkuu Korosho zitarudi baada ya jiwe kuanguka!
 
Karibu tulime huku Mkoka wilaya ya kongwa Korosho zinakubali sana na mashamba bei chee. Miche inapatikana hapa magereza.
Ukiangalia hii miche nilipanda mwez wa 2 mwaka huu. hakika hii mbegu ni bora sana na inakubali sana kanda ya kati.
Karibuni sana wadau
 
Karibu tulime huku Mkoka wilaya ya kongwa Korosho zinakubali sana na mashamba bei chee. Miche inapatikana hapa magereza.
Ukiangalia hii miche nilipanda mwez wa 2 mwaka huu. hakika hii mbegu ni bora sana na inakubali sana kanda ya kati.
Karibuni sana wadau
Mkuu upo Dodoma ipi naku PM mKUU TUONGEE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom