W wiser1 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 2,606 Reaction score 3,981 Sep 18, 2018 #1 Habari huku Nahitaji mbao ya mninga ,mbao 400 zenye futi 8-10. Ama mbao ngumu isiyoweza kuliwa na mchwa kwa urahisi. Niko moshi bei za hapa zimenizidi uwezo kwahyo ambae tunaweza fikia bei nitakayoweza kununua aje hapa. Asanteni ,
Habari huku Nahitaji mbao ya mninga ,mbao 400 zenye futi 8-10. Ama mbao ngumu isiyoweza kuliwa na mchwa kwa urahisi. Niko moshi bei za hapa zimenizidi uwezo kwahyo ambae tunaweza fikia bei nitakayoweza kununua aje hapa. Asanteni ,