Nahitaji mawazo yenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji mawazo yenu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lincolinjnr, Jul 2, 2012.

 1. lincolinjnr

  lincolinjnr Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Hello, mimi ni kijana wa kiume 27yrs,cjawahi kuwa kwenye serious relationship means that to have some one ambaye niko committed kwake kwamba tutaoana badaae most of my relationship huwa napata wasichana ambao tayari wana watu wao so mie huwa ni wa pembeni tu recently nimeenda likizo home wakanishauri kuoa but i have no one in may mind imefika wakati najiuliza kwanini mie cpati wa kwangu peke yangu na napata wasichana wa wenzangu tu ina maana wasichana wote wna watu wao?.......now am looking for some one ambaye nitafunga nae pingu za maisha hapo badae........i need construcive idea......
   
 2. Jephta2003

  Jephta2003 JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 27, 2008
  Messages: 3,596
  Likes Received: 1,897
  Trophy Points: 280
  suala la ujumi wa kwako hapa ni muhimu sana,wasichana wa sasa wako materilisic zaidi
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  You are looking at the wrong places.
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  duh pole kijana. ila mwana sasa mie naogopa kitu kimoja. kwa kuwa wewe umekuwa unabeba wa wenzako mentality yako ilishakuwa kuwa wanawake wote kwisha bebwa na kweli mwana wengi wao wapo na vijeba. anyways for noww kijana ushauri ni kwamba dont hurry into this matter...make sure kwanza kabisa wewe unataka mke mwenye sifa zipi both in physical appearance and character wise. baada ya hapo sasa ndio unaanza msako mwana bila pressure kijana 27 bado u got time .
   
 5. k

  kisukari JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,760
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  na ukitaka wa jf,yatakukuta hayo hayo
   
 6. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  we jamaa inamaana chuo ulichosoma wasichana woote walikuwa na watu wao..mtaani vp? Subiri ambae ataachana na mpnz wake umchukue...halafu hv kwani maisha ni lazima kuoa?
  MIMI NAONA HV NILIVYO NNA AMAN SANA.
   
 7. lincolinjnr

  lincolinjnr Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Mdame x where should i go
   
 8. lincolinjnr

  lincolinjnr Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Walikuwepo wengu but ta that tym ckumwandaa yeyote
   
 9. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kuna mshikaji wangu kapata kipya ana achana na demu wake kaa mkao wa kula nitaku update situation inavyoendelea umkombe huyo awe wako
   
 10. mamee

  mamee JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  kwakua haupo serious na umeshakubali kushika namba mbili,huo udhaifu uliokuanao utoe.
   
Loading...