Jhounne
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 1,093
- 2,565
DuuhRaisi wa Zimbabwe amesema amejiandaa na Corona kwa kujenga mortuary za kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
DuuhRaisi wa Zimbabwe amesema amejiandaa na Corona kwa kujenga mortuary za kutosha.
Kwa mwandiko huu haupo seriousKama bango linavyojieleza, piece 100,000 za mask zinazoziba pua na mdomo zinahitajika haraka. Kama unazo nicheki PM biashara ifanyike.
Niko Dar es salaam
Muwe munasoma Timeline ya uzi na kupitia Replies zote.Kwa mwandiko huu haupo serious
Umenisaidia kujibu mkuuMuwe munasoma Timeline ya uzi na kupitia Replies zote.