Nahitaji mashine za kutengeneza ice cream-heavy duty

baba priya

Member
May 12, 2016
9
1
Nahitaji Mashine za kutengeneza ice cream kwaajili ya kufanyia biashara..iwe ni heavy duty kama unayo tuwasiliane Kwa no 0767350415 au whatsapp no 0689601732...
 
kwenye neno heavy duty kidogo ni utata hapo.
Manaa zipo hata za 500m
Sasa kwa hizi zetu za kawaida za vibandani si chini ya 5m Original,na kama biaashara ni kubwa lazima uwe nazo mbili.
Nakushauri usinunue used,zinatesa sana hizi Machines kama ukinunua mtumba wa Kibongo.Maana bei hiyo ni sawa na kununua Carry Zanzibar,sasa jiulize kama ukiuziwa kimeo hali inakuwaje
 
Shukrani sana naomba tuwasiliane au nipe namba yako pm unishauri kidogo
 
toa jina unalotaka upewe bei unapata mpya...toka South Africa inachukua siku saba tuu kufika dar....
 
Back
Top Bottom