UKAWAA
JF-Expert Member
- Apr 18, 2014
- 216
- 85
Habari wadau,niko mbioni kufungua car wash yenye kuhudumia magari madogo na pikipiki,nahitaji msaada wenu nitapata wapi mashine nzuri za kuoshea(pressure machine)hatakama used bei zake zikoje na ukubwa upi utanifaa kwa kazi hiyo.wenyeuelewa nisaidieni na hata kama kuna changamoto na mengineyo ya hii biashara nifungueni macho