Nahitaji mashine ya kuchanganya juice

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,328
5,270
Heshima kwenu.
kama kuna mtu ajua zipouzwa zile mashine za kumix juice tafadhali anisaidie
 
Fanya uje Dar.
Maana zipo za size tofauti.
Kuanzai a Liters na ulaji wa umeme.

Kwa bei ya laki 8 mmhh?hii lazima iwe machine kubwa
 
shukrani kwenu wakuu
hapa mwanza Dubai bazaar wanauza 2,050,000mpya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom