Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 374
- 638
- Thread starter
-
- #21
Chuo gani hicho wasichana n wachache hadi ukose wa Ku socialize nao???
Anyway Bado shida ni MINDSET yako badili mtazamo dhidi ya jinsia ya kike hao n mhimu sana katika afya yako ya AKILI
Nahic una element za kuwa gay kataa iyo roho
Sio kimapenzi but nakuta tu...napenda awe rafiki yangu..
Sijaluelewa kabisa....
Pole sana mdogo wangu, kikubwa hapo kwanza achana na huo mchezo wa kujichua kabisa kama bado unao Ili kuimarisha afya yako ya uzazi.
Lakini pia kimtazamo tu unaonekana bado kuna chembe chembe za utoto zinakusumbua hivyo kufikia hatua ya kufuata mkumbo, sasa inabidi ufanye yafuatayo ili kuweka mambo sawa..
Hakikisha unachuja katika hao marafiki zako unaowaamini jaribu kutafuta wale ambao unaona wana umuhimu zaidi ndio unapaswa kushirikiana nao zaidi ili kuepusha mambo yasiyo ya lazima ikiwemo la kufuata mkumbo.
Pia jiweke mbali na mambo yatakayo ifanya akili yako iwazie zaidi maswala ya wewe kushindwa kujiongoza kihisia mfano acha stori za kijinga na marafiki wasio kua na maadili mazuri, acha kuangalia video za ngono kama unapendelea.
Pia jitahidi kutafuta marafiki wakike ambao unahisi ni wa rika lako pia wenye upeo ili ujenge nao mazoea ya kupiga story na kua karibu nao kiurafiki zaidi muwe munashauriana mambo mbalimbali,hii itakupa uzoefu pia itakujengea hali ya kujiamini na utajikuta unapata shauku juu yao
Pia hakikisha huyo msichana ulie nae unakua nae karibu na usiwe nae kwa ajili ya sex tuu, bali inabidi awe kama rafiuweujitahidi umtumie kama suluhisho la matatizo yako. Jitahidi kuwa nae karibu zaidi huenda ikasaidia, kua romantic sana kwake huenda ikasaidia.
Asante pole kwa matatizo.
Sijui tukusaidieje! Au labda mwili wako umezidiwa na homon za kike?
ACHA NYETO
Huvutiwi na wasichana ila unapenda kufanya mapenzi. Na nani/nini sasa?
Hao hao wasichana
Huyu sio kama ana ugay ana upweke wa kukosa mapenzi ya baba, ndio yamesababisha kujisikia kuwapenda rafiki wa kiume. Kwa nilivyo muelewa hawapendi kingono anapenda kuwa na ukaribu nao tu kama protector wake. Hizi hisia huwajia sana watu kama huyu walio lelewa na mama na bibi, kiufupi huyu anavutiwa na ule ushupavu wa kiume. Mtoa mada kama sipo sawa naomba unikosoweMzee utakuwa unasumbuliwa na tatzo la u gay,jiangalie sana mzee baba,miaka 24 hiyo inatosha kabisa kumumenya mtoto wa kike vzuri.
Mwanaume ukiwa lijali haijalishi utakuwa na demu gani ila ikifika mzuka umepanda unaweza kula demu yeyote hata kesho yake ukijilaumu sio mbaya.sasa wewe unapendaje wanaume wenzio zaidi badala ya kupenda msichana
Mimi nilikuwa napenda wasichana zaidi tena wale walio nizidi kaumri kidogo nikiamini ni wasafi zaidi,niko form 2 demu wangu form 3 or 4,akinipa papuchi atasimulia magori
Huyu sio kama ana ugay ana upweke wa kukosa mapenzi ya baba, ndio yamesababisha kujisikia kuwapenda rafiki wa kiume. Kwa nilivyo muelewa hawapendi kingono anapenda kuwa na ukaribu nao tu kama protector wake. Hizi hisia huwajia sana watu kama huyu walio lelewa na mama na bibi, kiufupi huyu anavutiwa na ule ushupavu wa kiume. Mtoa mada kama sipo sawa naomba unikosowe
Ndukiiiii
Tumsubiri aje afunguke vizuri tuone undani halisi.Kwa hiyo alishazoea wanawake sana hadi kukosa mvuto nao??! Mmmh mbona wengine tumekulia kwa ma bibi zetu ila hali ni tofauti mkuu