Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 374
- 638
Una Maana una wapenda/unavutiwa na wanaume wenzako?Habari za humu...Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa Dar es Salaam....Dhumuni la kuja humu ni kuhusu hali yangu kimapenzi ambapo inanitia hofu sana...kiasi kwamba nahitaji msaada wenu najua humu kuna watu wengi na ushauri tofauti.Shida nilizo nazo ni Kama ifuatavyo..
1.Mimi mara nyingi huwa sivutiwi sana na wasichana japo huwa napenda kufanya mapenzi.
2.Kuna msichana fulani nilikuja kumpata baada ya kuona hapa ninapo kaa wote wana mademu ila mimi tu naonekana sina,so ikabidi kama nimtongoze akakubali ila sasa yaan sivutiwi nae na pia nakuwa kama yaani sioni cha umuhimu kwakwe hata nikifanya nae sex baada ya round moja hamu ya kurudia sina tena,na hiyo round moja huchukua dakika chini ya mbili..
3.Yaani toka mdogo napenda sana kuwa na marafiki zangu wa kiume sana,yaani nahic naupendo mkubwa kwao kuliko wakike...sijui kutokana na nilivyo lelewa nimelelewa na bibi na mama tu baba nikiwa simjui labda ndo sababu..
4.Ninakuwa na waadmire sana boys wenzagu...
Naombeni ushauri wenu nifanyeje kusolve hizo changamoto...NOTE: MATUSI SIHITAJI JUST USHAURI TU
Una Maana una wapenda/unavutiwa na wanaume wenzako?
kuwa wazi
Nimekuelewa unataka ufanywe mapenzi na boys wenzio si et? Au nimeelewa vibaya tafadhali
Pole mkuu.
Jiuzulu Uchaputa halafu uimarishe afya kwa kufanya mazoezi kwa wingi na kupata chakula bora
Habari za humu...Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa Dar es Salaam....Dhumuni la kuja humu ni kuhusu hali yangu kimapenzi ambapo inanitia hofu sana...kiasi kwamba nahitaji msaada wenu najua humu kuna watu wengi na ushauri tofauti.Shida nilizo nazo ni Kama ifuatavyo..
1.Mimi mara nyingi huwa sivutiwi sana na wasichana japo huwa napenda kufanya mapenzi.
2.Kuna msichana fulani nilikuja kumpata baada ya kuona hapa ninapo kaa wote wana mademu ila mimi tu naonekana sina,so ikabidi kama nimtongoze akakubali ila sasa yaan sivutiwi nae na pia nakuwa kama yaani sioni cha umuhimu kwakwe hata nikifanya nae sex baada ya round moja hamu ya kurudia sina tena,na hiyo round moja huchukua dakika chini ya mbili..
3.Yaani toka mdogo napenda sana kuwa na marafiki zangu wa kiume sana,yaani nahic naupendo mkubwa kwao kuliko wakike...sijui kutokana na nilivyo lelewa nimelelewa na bibi na mama tu baba nikiwa simjui labda ndo sababu..
4.Ninakuwa na waadmire sana boys wenzagu...
Naombeni ushauri wenu nifanyeje kusolve hizo changamoto...NOTE: MATUSI SIHITAJI JUST USHAURI TU
Aaaah bas acha punyeto na kaa utulize akili na pia usifanye mambo kwa mkumbo wa marafiki
Hebu hapo kwenye malezi umelelewa na mama na bibi mpaka umri gani? Na una wewe wangapi kwenu una ndugu wa kiume Wa tumbo moja?
Bado haujampata demu anayekuvutia
That's all
Tafuta demuSo unanishauri nifanyeje nn?
Mkuu polee!
Ebu angalia hapa !
Ukiona gari inakufata utaipisha.
Ukiona una njaa unakula
Ukiona chumbani kuna giza utatafuta taa upate mwanga.
Ukiona nguo imechafuka unavua unafua
Sasa kwa mifano hiyo, maana ake wewe ushaelewa tatizo lako kama ulivyoeleza, kama huvutiwi na wanawake maana ake unataka wakuvutie sio? Badioli mindset yako.
Malezi huchangia lakini wewe ushakuwa 24yrs unaweza kubadilika anza Ku socialize tena bahati nzr upio chuo wasichana ni wengi.
Cha mwisho! Kama unajichua acha mara moja. Hi set kiakili usimuache huyo binti ndo awe zoezi lako kwa ajiri ya kujitibu.
Karibu
Kwa bahati mbaya nasoma chuo ambacho wasichana ni wachache sana napia huwa nawaona kawaida tu
Fwata kilichokupeleka huko sio lazima uwe na mpenzi chuo kumbuka kuna watoto ww mama nanii hapo pia boom lako litakuwa at risk pia ukiconcetrate kwa hai viumbe kuna kudsco au uka perform chini ya kiwango chako academically chunga mambo ya kuiga.Ni dokezo tu la penologist.
Tafuta demu