SANGA ONE Senior Member Joined Jul 7, 2012 Posts 125 Reaction score 29 Mar 3, 2016 #1 Habari za mchana wakubwa, Moja kwa moja niende kwenye mada.Nahitaji toyota mark x namba yoyote ile hata A kikubwa iwe katika hali nzuri.Bajeti yangu 8million. Asante na karibu kwa kuchangia kama huna neno please pita kimya kimya.
Habari za mchana wakubwa, Moja kwa moja niende kwenye mada.Nahitaji toyota mark x namba yoyote ile hata A kikubwa iwe katika hali nzuri.Bajeti yangu 8million. Asante na karibu kwa kuchangia kama huna neno please pita kimya kimya.
Mwanyoro JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 636 Reaction score 460 Mar 3, 2016 #2 Jamani mwenye nayo amusaidie mdau