nahitaji marafiki

yani nikisomaga post zako lazma nicheke
 
hata kwenye mgegedo wasiwe na lugha chafu...?

......kwakuwa siku hizi tunakwepa majukumu yasiyo lazima,moja ya lugha chafu ni .... Bby kesho naomba ukanifanyie shop'ng.
 
Rafiki hatafutwi na ukimpata wa kutafuta hamtadumu, hamtaisha kugombana na kusemana. Kuwa mpole chat chat utapata watu unaoshare nao interest mbalimbali na mwishowe mtakua marafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…