Nahitaji marafiki wakuchati nao

Apana mpenzi sema tu ukishawajua wanoko wewe ilpi wapate lakusema wewe waaambie tuuu ili wapate cha kutanganza na kusambaza sasa kitakachokuja waumbua ni wewe ukiniweka ndani tu hahahha vipi honey umeamkaje kipenzi changu?
mpnz kumbe nisipokuwepo humu unanisema eeh??
 
Apana mpenzi sema tu ukishawajua wanoko wewe ilpi wapate lakusema wewe waaambie tuuu ili wapate cha kutanganza na kusambaza sasa kitakachokuja waumbua ni wewe ukiniweka ndani tu hahahha vipi honey umeamkaje kipenzi changu?
niliamka salama, sema comment zako zilinivuruga mpnz, ila nimekuelewa mupenzi saiv niko okay mwambie na Mamaafacebook kwamba nakupenda sana...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…