Nahitaji marafiki wakuchati nao

Kumbe kuna maelezo zaidi bibie??

Bila shaka watakaotaka na mlo wa wakubwa, watahudumiwa kwa hospitality ya hali ya 5 star!!
 
"kwa maelezo zaidi" hayo maelezo si ungeyaweka hapa ili tujipime kama tuna kidhi viwango vya kuchati na wewe
 
Tujurishe umri wako kwanza kabla hatujaja pm.
 
Ww ndo unatafta marafk.. onesha userious kwanza ww
 
Kumbe kuna maelezo zaidi bibie??

Bila shaka watakaotaka na mlo wa wakubwa, watahudumiwa kwa hospitality ya hali ya 5 star!!

kwa maelezo zaidi fungua ''profile yake''
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…