m-Mwamba Member Joined Sep 10, 2017 Posts 8 Reaction score 4 Oct 7, 2017 #1 Wasalaam wakuu, Nipo Dar es salaam, nahitaji kuku kwa wingi hasa majogoo ya kienyeji (siyo chotara). Kwa mwenye nayo aniPM hata kama ni Mkoani tutaangalia namna ya kusafirisha.
Wasalaam wakuu, Nipo Dar es salaam, nahitaji kuku kwa wingi hasa majogoo ya kienyeji (siyo chotara). Kwa mwenye nayo aniPM hata kama ni Mkoani tutaangalia namna ya kusafirisha.
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,175 Oct 8, 2017 #2 kuna uzi mmoja utafute uko humu utakusaidia.
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,402 Reaction score 31,658 Oct 8, 2017 #3 Unataka majogoo kwaajili ya nyama au kufuga? Majogoo ya aina ipi, kuchi/singamagazi/ching'weke au hawa wa kawida?
Unataka majogoo kwaajili ya nyama au kufuga? Majogoo ya aina ipi, kuchi/singamagazi/ching'weke au hawa wa kawida?
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,249 Reaction score 5,962 Oct 9, 2017 #4 Thad said: Unataka majogoo kwaajili ya nyama au kufuga? Majogoo ya aina ipi, kuchi/singamagazi/ching'weke au hawa wa kawida? Click to expand... Akikujibu nami ntakuja mkuu.
Thad said: Unataka majogoo kwaajili ya nyama au kufuga? Majogoo ya aina ipi, kuchi/singamagazi/ching'weke au hawa wa kawida? Click to expand... Akikujibu nami ntakuja mkuu.