NAHITAJI MAGUNIA YA KILO 25

Habari za muda wakuu, ninahitaji magunia zaidi ya elfu tano (5000) ya kilo 25, kama kuna yeyote anayejua ni wapi wanakouza au kama anahusika na ishu kama hizo naomba tuwasiliane ili tuyajenge. Nipo DSM (0752026992)
Azam wanafanya hiyo kazi
 
Back
Top Bottom