mkuu kayo ni mafuta kama mengine sema yametokea ukubalika sana na ni adimu ila wengine hutumia kupikia vyakula, japo wengi huamini ni mafuta yalio na viini lishe vingi na yanafaa kukaangia vyakula maana hayaleti free radicals kama mafuta ya mimea mingine, ni kama vile mafuta ya nazi yakubalikavyo kutokana na umahiri wake katika mapishi na shughuli nyingine lukukiHuwa yanasaidia hadi kutibu magonjwa ya ngozi kama kovu la moto, mapele, kovu la ajali au huwa yanasaidia nini.
Tujuzane tafadhali wakuu maana ninakovu nilipata ajali nikubwa kidogo natamani kuliondoa au kulipunguza ila sijui ni dawa gani inaweza kunisaidia
mkuu kayo ni mafuta kama mengine sema yametokea ukubalika sana na ni adimu ila wengine hutumia kupikia vyakula, japo wengi huamini ni mafuta yalio na viini lishe vingi na yanafaa kukaangia vyakula maana hayaleti free radicals kama mafuta ya mimea mingine, ni kama vile mafuta ya nazi yakubalikavyo kutokana na umahiri wake katika mapishi na shughuli nyingine lukuki
Tafuta bio oil kwenye maduka makubwa ya dawa, fanya massage kila siku asubuhi na jioni.Huwa yanasaidia hadi kutibu magonjwa ya ngozi kama kovu la moto, mapele, kovu la ajali au huwa yanasaidia nini.
Tujuzane tafadhali wakuu maana ninakovu nilipata ajali nikubwa kidogo natamani kuliondoa au kulipunguza ila sijui ni dawa gani inaweza kunisaidia