Nahitaji mafunzo ya kung fu, karate, judo

Nahitaji mafunzo ya kung fu, karate, judo

isyesye

Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
51
Reaction score
22
wakuu kwa mbeya wapi naweza pata mafunzo rasmi ya vtu kma hvyo happo juu
 
Nenda mbalizi mitaa ya zzk ulizia mtu mmoja anaitwa 05 (zero five) anapatikana karibu na kwa mzee mahenge.km hujaelewa uliza hapa ucje pm pamejaa
 
Ni pm, nikuelekeze mahali uje nikupige karate za uhakika ukitoka hapo nawe ushajifunza. Uje na laki.2. Ukitaka nikupige na kung fu, utaongeza hela

usitembee juu ya ardhi kwa majivuno
 
Sorry kwa kuingilia Uzi wako Ila kama kuna sehemu iringa inafundisha watoto naomba kujuzwa tafadhali
 
huwo ni uchochezi... Wanajeshi na jeshi la polisi pekee ndio wenye haki ya mafunzo hayo.
 
Kwa umri wa miaka 40 naweza jifunza hiyo kitu au mifupa imeshakaza??
Kwa Martial art hakuna kuchelewa isipokuwa kwa 40 jikite kwa zilet stule ambazo hazina quick movement ya miguu au high kick kama vile Judo Aikido Shoto ryu,gojuryu,Winchun ,Taich
Hata shotokan kama una coordination nzuri na kama uko abit agressive krav maga will do.
Mimi niko vyema kwa Gojuryu and before nilijifunza dirty martial arts kabla ya ku adopt style moja ama mbili kupitia kwa Santana(RiP)Mwamba zero(RiP) na baadae Mwanafunzi wa Zero (Kilingo huyu search FB bado anafundisha kwa selected few na sisi wanafunzi wake huyu ametraib na walimu wengi wa nje ana pge face book na utanikuta nikiwa kama mmoja wa wanafunzi wake wa kujivunia na tunawasilia sana)
Ni ivada nzuri sana gii inakufanya uwe highly displined hata kazini na unatake every task in a way of the martial art -focused ,targeted in a certain order and efficiency.
Go mkuu na utapata support zote ningepepebda kila mtu ajue faida ya hii kitu utajisikia free in body and mind kuliko ulivyowahi kujisikia .
kwako hutakuwa na idle moment!full raha in your soul!
Karibu


Nenda mbalizi mitaa ya zzk ulizia mtu mmoja anaitwa 05 (zero five) anapatikana karibu na kwa mzee mahenge.km hujaelewa uliza hapa ucje pm pamejaa
 
Back
Top Bottom