Nahitaji maduka ya mavazi ya harusi Dar

Nahitaji maduka ya mavazi ya harusi Dar

shizo mkax

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
190
Reaction score
39
Poleni na pilika za kila siku wanajukwaa, nawasalimu ktk salamu zote..

Natarajia kuoa next month. Naomba kujulishwa maduka ya nguo za harusi za kiislam hapa Dar ikiwa pamoja na bei zake. Naprefer zaidi mitindo ya kihindi.

Wasalaam
 
Kwa nini mitindo ya kihindi na sio kiAfrika mkuu!?
 
Ni

preference tu mkuu. Na sababu kubwa ni kwamba mitindo ya kiafrika ni tatizo kidogo ktk upatikanaji wake ukilinganisha na ya kihindi
 
Back
Top Bottom