Nahitaji madilisha ya aluminium hapa Dar es salaam

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,843
Reaction score
10,765
Wakuu, niko kwenye steji ya uwekaji madirisha. Nahitaji vifaa kwa ajili ya kutengeneza madirisha hayo kwa yeyote mwenye hardware na bei nzuri. Karibuni wakuu.
 
Mbona unaandika kama unahamia Dodoma. AMINIUM ndio ALUMINIUM sio?
 
Nadhani humu hakuna wadau ambao watapenda tufanye biashara hii
 
Wakuu, niko kwenye steji ya uwekaji madirisha. Nahitaji vifaa kwa ajili ya kutengeneza madirisha hayo kwa yeyote mwenye hardware na bei nzuri. Karibuni wakuu.
Mkuu nitafute 0716260015, tutakuhudumia kwa bei nafuu kabisa, Kiwanda chetu kipo Mbezi Beach, Dar es salaam. Asante
 
Wakuu, niko kwenye steji ya uwekaji madirisha. Nahitaji vifaa kwa ajili ya kutengeneza madirisha hayo kwa yeyote mwenye hardware na bei nzuri. Karibuni wakuu.
Ukihitaji fundi mzuri wa kutengeneza madirisha na milango ya aluminium naweza kukulink naye.
 
Back
Top Bottom