Nahitaji mabwawa ya samaki

Nahitaji mabwawa ya samaki

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
5,779
Reaction score
13,702
Habari zenu wakuu.Nina shida na mabwawa ya samaki aina hii nimeambatanisha picha hapa chini.naomba nifahamishwe kwa hapa Tanzania yanapatikana wapi.Natanguliza shukrani.
IMG-20181222-WA0014.jpeg
IMG-20181222-WA0014.jpeg
 
No kama kuna pahali yanauzwa kwa hapa nchini nifahamishwe pia mkuu
Kauliza yanapatikana wapi...may be Kama anataka kujifunza. Kwa uelewa alivouliza seems like anataka akodishe kwa mtu.
 
Back
Top Bottom