benjamathayo
Member
- May 22, 2018
- 75
- 77
Ndio bei zao,yale ya muundo wa vigae 20,000/ mita; hii ni kwa geji ya 28Equation x yaan kwamba bati moja litakua 51,000? acha chai mkuu
kiwandani au mtaani? huenda sijakuelewaNdio bei zao,yale ya muundo wa vigae 20,000/ mita; hii ni kwa geji ya 28
Kiwandani na umaweka oda siku mbili kabla na unalipia bankmiwandani au mtaani? huenda sijakuelewa
Aisee maisha yanaenda kasi sana, nakumbuka hizo bati nimenunua mwaka 2018 kwa 36,000 bati la futi 10 gauge 28 pale sunshare, leo miaka mitatu mbele limefika 51,000?Kiwandani na umaweka oda siku mbili kabla na unalipia bank
Sijajua kwa nini wanabei hizo, labda kwa sababu ni brand kubwa. Ndio maana wateja wengi wanakimbilia kwenye unafuu au wanachukua geji ya 30 n.k, matokeo yake bati la rangi muda mfupi linapaukaAisee maisha yanaenda kasi sana, nakumbuka hizo bati nimenunua mwaka 2018 kwa 36,000 bati la futi 10 gauge 28 pale sunshare, leo miaka mitatu mbele limefika 51,000?
mkuu hiyo bei uliyoweka nadhani ni zile bati zenye manjonjo, zilizojikunjakunja kama vigae, ila za kawaida sio bei hiyoSijajua kwa nini wanabei hizo, labda kwa sababu ni brand kubwa. Ndio maana wateja wengi wanakimbilia kwenye unafuu au wanachukua geji ya 30 n.k, matokeo yake bati la rangi muda mfupi linapauka
Zenye manjonjo ni 20,000/ mita; hata mimi nimeshangaa kwa nini bei iko juumkuu hiyo bei uliyoweka nadhani ni zile bati zenye manjonjo, zilizojikunjakunja kama vigae, ila za kawaida sio bei hiyo
Walishakubalika sokoni hasa kwenye uborakuna jamaa humu alaishawahi sema alaf tunawapakichwa sisi nilimuelewa sanaaaaaa sanaaaaaa
Na kwa mtu aliyeko dar,akiweka oda leo ategemee kupata baada ya wiki kutokana na foleni ya wateja waliopoALAF zimesimama sana...mwezi wa sita niliambiwa ni 35k kwa bati moja gauge 30..nikakimbia
Sio wiki moja inaweza kuzidi...alafu ukienda kuchukua bati zako ni kazi ya siku nzimaNa kwa mtu aliyeko dar,akiweka oda leo ategemee kupata baada ya wiki kutokana na foleni ya wateja waliopo
Kwa walioko dar wanasema matawi ya mikoani baadhi hayatengenezi kwa sasa,kwa hiyo oda zote zinaenda mjini; kwa mazingira hayo lazima uwe mpole,mbaya zaidi na pesa umeshalipa.Sio wiki moja inaweza kuzidi...alafu ukienda kuchukua bati zako ni kazi ya siku nzima
Geji 28 kwa mita sh.17000, kampuni ya ALAF,warranty miaka 15; wiki 2 zilizopita niliulizia
Wapigie kiwandani kama unachukua mengi watakuleteaKaka nimesema nahitaji geji 30 migongo mipama siyo geji 28