Nahitaji Logo kwa ajili ya biashara yangu

Nahitaji Logo kwa ajili ya biashara yangu

Bm_boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
547
Reaction score
348
Habari wakuu.

Kama headline inavyojieleza nahitaji mtaalam wakunidizainia logo Ambayo nitaitumia kwenye biashara yangu. Na hata kuiprint kwenye t-shirt na hata blog.

Mtaalamu ajitokeze tuelewane.
 
Logo ya aina ipi? Iwe na nn na nn? Wafanya biashara gani? Logo yapasa iwe na reflections ya kile wafanya na jina la biashara pia, maelezo zaidi n muhm
 
Logo ya aina ipi? Iwe na nn na nn? Wafanya biashara gani? Logo yapasa iwe na reflections ya kile wafanya na jina la biashara pia, maelezo zaidi n muhm

Mkuu logo ya jina langu... Na mimi nahusika na masuala ya intertainment.. Xo ukiwa tayari nikupm jina na vile itakua
 
mtafute LOGORIDDIM!Anafanya kazi nzuri huyu jamaa,nimeona kwenye blog yake kiukweli,utafurahia?
 
Back
Top Bottom